Picha
mbalimbali wakati wa uzinduzi wa uwanja
wa kisasa wa michezo katika Shule ya Msingi Mgeza Viziwi iliyoko Manispaa ya
Bukoba mkoani Kagera Jana July 5, 2018 ambapo Uwanja huo utatumika kwa michezo Minne
ya mpira wa pete, mikono, kikapu na wavu
kutokana na kuwepo kwa vifaa vya kuhamishika.
Uwanja huu
umejengwa na walimu wawili wa muda raia wa ujerumani waliokuwepo shuleni hapo
kwa kipindi cha mwaka , Wameamua kujenga uwanja huo kama kumbukumbu yao kwa
taasisi ya Mugeza Viziwi.
Uzinduzi wa
uwanja huo umefanywa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambaye ni Mkuu wa wilaya
ya Bukoba Deodatus Kinawilo.
Picha Na-RK FM.
Uwanja huo utatumika kwa michezo Minne
ya mpira wa pete, mikono, kikapu na wavu
kutokana na kuwepo kwa vifaa vya kuhamishika.
Uwanja huu
umejengwa na walimu wawili wa muda raia wa ujerumani waliokuwepo shuleni hapo
kwa kipindi cha mwaka , Wameamua kujenga uwanja huo kama kumbukumbu yao kwa
taasisi ya Mugeza Viziwi.
Picha
mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa
uwanja huo ambao Umefanywa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambaye ni Mkuu wa wilaya
ya Bukoba Deodatus Kinawilo.
No comments:
Post a Comment