Bi.Salaiya Selemani wa Mtaa Buyekera,Mwathirika la Tetemeko la Ardhi Bakoba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 31, 2018

Bi.Salaiya Selemani wa Mtaa Buyekera,Mwathirika la Tetemeko la Ardhi Bakoba.

Bi.Salaiya Selemani ni mkazi wa mtaa Buyekera Kata Bakoba Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, anaishi kwenye Kibanda ( PICHANI )alichojengewa baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kuangushwa na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani humo September 10,2016.

Bibi huyu  anaishi na wajukuu zake wa 3 na amekuwa akihangaika kuwatafutia chakula wajukuu zake kwa kufanya kazi za vibarua kwenye makazi ya watu.

Anaililia Serikali , Wadau na Jamii kumsaidia japo akajengewa Nyumba yenye chumba kimoja na mtu wa kuwanunulia sare na vifaa vya shule Wajukuu zake ili wapate kusoma.


Na- RK Bukoba.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad