Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na
Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga
(CCM)kushoto akipokea cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Klabu
ya Coastal Union Salim Bawaziri ikiwa ni
kutambua mchango wake wa kuisaidia timu hiyo kuweza kupanda daraja kucheza ligi
kuu msimu ujao tuzo hiyo walikabidhiwa pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
anayeshughulikia Mazingira na Muungano January Makamba ambaye ni Mbunge wa
Jimbo la Bumbuli(CCM) na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani(CCM),Asas ya Iringa na Mo Dewji.
(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii
ya Tanga Raha) |
No comments:
Post a Comment