![]() |
Kumuyange FC (Kagera) wamepata ushindi wa pili mfululizo wa Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL 2017/2018). |
![]() |
Wachezaji wa Kumuyange FC wakishangilia moja ya goli walilolifunga leo May 11,2018 dhidi ya Ambassador FC ya Simiyu baada ya kukubali kufungwa bao 3-2 katika mchezo makali na wakusisimua kwenye uwanja wa WAJA mjini Geita licha ya kuhudhuriwa na Mashabiki wachache. |
![]() |
Kikosi cha Kumuyange FC ya Kagera. |
![]() |
Kikosi cha Ambassador FC ya Simiyu. |
![]() |
Kwa maana
hiyo, pointi 6 ambazo wamejikusanyia Kumuyange FC hadi sasa zinawafanya
waongoze Kundi lao la A la michuano hiyo,wakifuatiwa na Ungindoni FC ( DSM)
wenye point 4,Phantom FC (Mwanza) point
4 na Gipco FC (Geita) wenye Point 2.
|

No comments:
Post a Comment