Juisi ya Nyanya Hutumika Kuondoa Ugonjwa wa Kutokwa Jasho. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, May 10, 2018

Juisi ya Nyanya Hutumika Kuondoa Ugonjwa wa Kutokwa Jasho.

Watu wengi hudhani kutokwa na jasho ni dalili ya afya lakini wakati mwingine ni kero kubwa ambayo inaweza kukukosesha amani hasa wakati unatembea mwendo mrefu, kufanya mazoezi au wakati wa kawaida wa joto nao unaweza kukukosesha amani. 

Jinsi ya kutibu ugonjwa huo.

Chukua nyanya isage upate glasi tatu za juisi kisha kunywa kila siku, hakikisha unakunywa ukiona jasho limeanza kupungua anza kupunguza idadi ya glasi taratibu.
Tumia juisi hii kama tiba kwa wiki tano mfululizo kisha baadaye ndiyo unaweza kupunguza na tatizo likiisha unaachana nayo. 

Tiba nyingine ya kuondoa jasho ni kiazi mviringo, unachotakiwa ni kukikata kata vipande vyembamba kisha unafuta eneo linalotoa jasho, hii nayo ni tiba nzuri sana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad