![]() |
Timu ya Tottenham Spurs imeshinda bao
1-0 na sasa wanafikisha Point 74 ambazo Chelsea waliotoka sare ya 1-1 hawezi
kuzifikia na Kufuzu au kupata tiketi kwa Chelsea ya kushiriki michuano
ya UEFA Champions League msimu wa 2018/2019 kunategemeana na Liverpool
apoteze mchezo dhidi ya Brighton
wakati wao Chelsea wakiwa ugenini watalazimika kuhakikisha wanapata
ushindi ili wamalize nafasi ya nne katika msimamo wa msimu wa 2017/2018.
Matokeo ya Mechi za EPL zilizochezwa May 9,2018.
|


No comments:
Post a Comment