Wa Mama Wakuu
wa Mashirika ya Kitawa Afrika yaliyoanzishwa na Wamisionari wa Mama yetu wa
Afrika (MSOLWA) baada ya siku mbili za semina juu ya Maisha ya kiroho na sala
za kiinyasiana (mt. Inyasi wa Loyola). Kiongozi wa Semina hiyo alikuwa Pd Damas
Missanga, S.J.
Picha/Habari
Na Pd Damas Missanga, S.J.- Radio Kwizera.
|
Masista hao
waliokutana Kurasini Jijini Dar Es Salaam walikuwa na lengo la kujikumbusha msingi wa
karisma na majiundo sala na roho ya nashirika yao ambayo yamejikita katika roho
ya sala ya kiinyasiana.
Semina hiyo
ilikumbushia na kuchochea roho sala za tafakari moyo (meditation), sala za
uchunguzi dhamiri/Fahamu (examination of conscious) na utambuzi wa roho
(discernment of spirits).
WaMama
walipata nafashi ya kushirikisha jinsi kila shirika linavyoishi roho hii na
kukiwekea malengo ya kutilia mkazo pale ambapo wamegundua kulegea ili kuamsha
tena roho ya sala ya kiinyasiana katika maisha yao.
Kiongozi wa Semina hiyo alikuwa Pd Damas
Missanga, S.J.
|
No comments:
Post a Comment