Nchini
Italia ,Klabu ya As Roma wamefanya kile
ambacho wengi hawakukitarajia baada ya kuitupa FC Barcelona nje ya michuano ya
Champions League msimu huu 2017/2018
ambapo mara ya mwisho kwa Barcelona
kupita katika hatua hii ilikuwa mwaka 2015.
|
Katika siku
za hivi karibuni, ni Barcelona iliyobadilisha
matokeo ya 4-0 dhidi ya Paris St-Germain kwa kushinda 6-1 katika mechi ya marudio uwanja wa
Noe Camp msimu uliopita.
|
No comments:
Post a Comment