Dkt. John
Pombe Magufuli.
Taarifa kutoka
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo February 10, 2018
amempandisha cheo na kumteua Mohamed Hassan Haji kuwa Kamishna wa Polisi
Zanzibar.
Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi amesema kuwa Rais Magufuli amempandisha cheo
Mohamed Hassan Haji kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na
kuwa Kamishna wa Polisi (CP), na kisha kumteua kuwa Kamishna wa Polisi
Zanzibar.
TAARIFA
ZAIDI SOMA HAPA CHINI.
|
No comments:
Post a Comment