Arsenal yagongwa Kimoja tu na Tottenham –EPL 2017/2018. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 10, 2018

Arsenal yagongwa Kimoja tu na Tottenham –EPL 2017/2018.

Klabu ya Tottenham imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya Arsenal mchezo wa ligi kuu ya Uingereza leo February 10,2018 uliyopigwa katika dimba la Wembley.

Bao pekee la Spurs limefungwa na mshambuliaji wao hatari, Harry Kane kipindi cha pili baada ya dakika 45 za awali kutoka sare ya bila kufungana.

Mchezaji bora wa mchezo huo ni alikuwa ni Harry Kane, na kuifanya sasa Timu yake kwa matokeo hayo kuipeleka Tottenham hadi nafasi ya tatu kwa kuwa na jumla ya alama 52 ikizidiwa kwa pointi nne mbele ya Man United waliyopo nafasi ya pili katika msimamo wa ligi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad