Professor Jay Anena Mazito baada ya Nyumba yake kubomolewa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 01, 2017

Professor Jay Anena Mazito baada ya Nyumba yake kubomolewa.


Muonekano wa nyumba ya Professor Jay baada ya kubomolewa kushoto huku kulia wakati bado Haijabomolewa.

Mbunge wa Mikumi Mjini -CHADEMA , Mhe.Joseph Haule maarufu kama Professor Jay amekumbwa na zoezi la bomoa bomoa linaloendelea maeneo ya Kimara, jijini Dar es salaam kwa kuvunjiwa nyumba yake huku akieleza kuwa uvunjaji huo haukufuata sheria.


Mbunge wa Mikumi Mjini, Joseph Haule maarufu kama Professor Jay.

Professor Jay akithibitisha taarifa hizo kupitia kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii amesema zoezi hilo limefanyika wakati yeye akiwa jimboni kwake na mbaya zaidi hakupewa taarifa na zoezi hilo limeendeshwa jioni ambapo sio muda wa kazi kiserikali.

Hapa Chini Soma alichokiandika Instagram baada ya zoezi hilo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad