Agizo la IGP Simon Sirro kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kufanya Mazoezi ya Pamoja. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 01, 2017

Agizo la IGP Simon Sirro kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kufanya Mazoezi ya Pamoja.

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro ameongoza Maofisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jana Ijumaa September 30,2017 jijini Dar es Salaam katika mazoezi ya pamoja ambayo hufanyika kila mwisho wa mwezi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro akiongoza maofisa na askari wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jana Ijumaa jijini Dar es Salaam katika mazoezi ya pamoja.

 IGP Sirro, amewahimiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa yote Nchini Tanzania kuhakikisha wanafanya mazoezi ya pamoja ili kuendelea kuboresha Afya za Maofisa na Askari.

 

Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad