![]() |
|
Siku ya
Kimataifa ya Ufikivu Habari kwa Wote pia ni fursa ya kurejea ahadi yetu ya uhuru
wa kujieleza na usalama wa waandishi wa habari.
Vyombo vya habari huchukua
nafasi muhimu katika kuwezesha ufikivu wa habari kwa wananchi na katika
kufuatilia masuala muhimu ya kijamii na wakati huo huo vikiwaelimisha wafuatiliaji
kwa kuwapa ufahamu na ujuzi.
Haiwezekani kuwepo kwa ufikivu wa habari kwa wote
bila kuwepo kwa vyombo vya habari vilivyo huru.
Ufikivu wa
habari sio tu ni lengo peke yake; pia ni mchangiaji muhimu katika utekelezaji
wa malengo mengine yote ya Maendeleo Endelevu.
Kwa hiyo ni muhimu tuendeleze
juhudi zetu ili kuhakikisha kuwa kila mwanamke na mwanamume wanafurahia ufikivu
kamili wa habari.
|
Wednesday, September 27, 2017
Ujumbe wa UNESCO -Siku ya Kimataifa ya Ufikivu Habari September 28,2017.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment