Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli yuko Mkoani
Kagera na Leo July 19, 2017 ,Ni mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa
barabara Kigoma-Biharamulo-Lusahunga ( km 154 ) ambao unafanyika mjini
Biharamulo.
Taarifa zaidi
kuhusu Rais Magufuli kufungua na kuzindua Miradi 9 Mkoani Kagera,Kigoma,Tabora
na Singida-BOFYA HAPA KUITAZAMA RATIBA.
|
Baadhi ya Wananchi wa wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye yuko Mkoani
Kagera na Leo July 19, 2017 Ni mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa
barabara Kigoma-Biharamulo-Lusahunga ( km 154 ) ambao unafanyika mjini
Biharamulo.
|
Burudani toka vikundi mbalimbali ikiendelea kutumbuizwa wakati wa kumpokea Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye yuko Mkoani
Kagera.
|
Wananchi wa Biharamulo Mjini wakimpokea Rais wa
Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye yuko Mkoani
Kagera na Leo July 19, 2017 na atakua mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa
barabara Kigoma-Biharamulo-Lusahunga ( km 154 ) ambao unafanyika mjini
Biharamulo.
|
No comments:
Post a Comment