![]() |
|
Pia Mbunge
Freeman Mbowe ameagizwa na Spika Ndugai kufika mbele ya Kamati ya Maadili leo
akituhumiwa kutukana Bunge kufuatia uchaguzi huo wa EALA.
Mwingine
anayetarajiwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Kinga, Maadili na Madaraka leo ni
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Pastory Mnyeti ambaye ameitwa na kamati
hiyo na anatakiwa kufika leo.
|
Thursday, April 06, 2017
Home
SIASA
Mbunge Freeman Mbowe,Halima Mdee,RC Makonda na DC Mnyeti Kufika Kamati ya Maadili ya Bunge Kujieleza.
Mbunge Freeman Mbowe,Halima Mdee,RC Makonda na DC Mnyeti Kufika Kamati ya Maadili ya Bunge Kujieleza.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment