Klabu ya
Simba SC imesha malizana na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) baada ya kulipa
zaidi ya Sh milioni 80, kodi ya nyasi bandia zilizo kuwa bandarini.
Baada ya
hapo, kinachofanyika ni kumalizia masuala kadhaa yakiwepo ya kuzitoa nyasi hizo
bandarini.
Uongozi wa
klabu ya Simba umetoa taarifa hiyo kupitia mtandao wao wa wakijamii wa
instagram
...' Taarifa Rasmi
kuhusiana na Nyasi Bandia, Mpaka sasa Tumeshalipia Kodi yote ya Nyasi Bandia,
Kinachoendelea sasa ivi ni Wakala wetu kumalizia taratibu za Kutoa Container
zenye nyasi hizo bandarini kwenda kuwekwa rasmi katika uwanja wetu wa Bunju.
No comments:
Post a Comment