![]() |
Goli za Man
United hii Leo February 11,2017 zilifungwa na Juan Mata, Dakika ya 32, na Anthony Martial
Dakika ya 60 .
|
![]() |
Ushindi huu
umewaweka Man United wakiwa na
Pointi 48 na Pointi hizi 3 za Leo zimewafanya wafikishe Pointi 2,000 kwenye
Ligi huko England na kuweka Rekodi mpya.
Pia sasa Man
United wako kwenye mbio za Mechi 16 bila kufungwa kwenye EPL.
|
![](https://3.bp.blogspot.com/-83Y5IVOBjKc/WJ9VPAqLHcI/AAAAAAABBLE/ucv9SwFIhxEphreLr-INr9g4Q3rKHbQVwCLcB/s640/16709400_1377196918986881_1680333083_o.png)
No comments:
Post a Comment