Halmashauri
ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera imeanza Msako kukamatwa Magunia ya mkaa
ikilenga mkakati wa kulinda Mazingira na rasilimali misitu wilayani humo.
Pichani juu na chini
ni Magari ya Halmashauri ya Wilaya hiyo Lori STK 5971 na gari Dogo Toyota Hilux SM 9007 yakitokea Benako kata ya Kasulo, kama Kamera
ilivyokutana nayo mteremko wa K9 leo,February 11,2017,majira ya mchana yakiwa yamepakia mkaa huo na kwenda
kuuhifadhi katika Eneo la Ofisi za Mamlaka ya Mji zamani Ofisi za UN.
|
No comments:
Post a Comment