![]() |
Bao la pili
la Arsenal lilifungwa tena na Sanchez katika dakika za majeruhi, dakika ya 92,
kwa Penati iliyotolewa baada ya Sam Clucas kuushika Mpira wa Kichwa wa Lucas
Perez kwenye Mstari wa Goli.
Refa Mark
Clattenburg aliwapa Penati Arsenal na kumpa Kadi Nyekundu Sam Clucas na Sanchez
kufunga Penati hiyo.
|
![]() |
Ushindi huo
umewaweka Arsenal Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 50 sawa na Tottenham ambao wako
Nafasi ya Pili lakini wanacheza baadae Leo huko Anfield na Liverpool.
|
No comments:
Post a Comment