![]() |
Baada ya
mchezo wa leo, Simba SC wanakwenda
kujichimbia kujiandaa na mchezo dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Februari 25,2017 Uwanja wa Taifa.
Hapo kesho Jumapili,February
12,2017, zipo Mechi 3 za Ligi -VPL kwa Mwadui
FC itacheza na Mbeya City kwenye
Uwanja wa Mwadui wakati African Lyon
itacheza na Mtibwa Sugar Uwanja wa
Uhuru, Dar es Salaam na pia JKT Ruvu
itakuwa mwenyeji wa Mbao FC kwenye
Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
|
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgTxZuzGoYCkvU1gfXPT0NaqhIjUNoe2F8fKN_F_iusmFVwarpsch2FkuoPEDZJNR0DmhqNATrTgX-e4jkG0Q1Y89Wmd8nKYaoOacwhirSxyrZOnYfzoQMuwZFets-1apOFIWprmHaOorN_/s640/16731995_1377125918993981_1173043371_o.png)
No comments:
Post a Comment