Katika Karne
ya sasa Vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari wa nani zaidi kwenye tasnia ya mapenzi, hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye
mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu, anashindwa kuvumilia na kujiwekea misimamo
yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza wenye kina.
Tamaa! ni
mbaya, kupenda sio vibaya ila unapaswa kufanya uchunguzi kabla ya kupenda na
sio kutamani! Ili ujue ulipo penda ni
sahihi au laa!.
Unaweza kupenda ulipo tamaniwa
shida ndipo huanza, sio hivyo tu unaweza ukapenda mzuka /jini/shetani
nk. Mwishowake huwa ni majuto.
Kumbuka
umakini na msimamo katika mapenzi
vinamsaada mkubwa sana katika karne hii (usipende usicho kijua)
Ukitazama hiki kipande cha video kilicho andaliwa 2017 na Vicent Petro a.k.a Mr. Kiraka, Ziada Mgwassa a.k.a
“Zaydar” & Moses, utajifunza kuwa sio kila kinacho ng’aa ni
dhahabu!. Tunaomba support yako kwenye video hii ili KWA KUBOFYA HAPA iwafikie walengwa wetu!Asante.
|
Wednesday, January 04, 2017
VIDEO: Madhara ya Kutamani Wasichana Usiyo Wajua.
Tags
# DONDOO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
DONDOO
Labels:
DONDOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment