Mradi wa Maji wa Benki ya Dunia katika kijiji cha Rwinyana wilayani Ngara mkoani Kagera Umekwama?? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 05, 2017

Mradi wa Maji wa Benki ya Dunia katika kijiji cha Rwinyana wilayani Ngara mkoani Kagera Umekwama??

Pichani ni Mradi wa Maji wa Benki ya Dunia katika kijiji cha Rwinyana wilayani Ngara mkoani Kagera umekwama kuhudumia Wananchi licha ya kuzinduliwa na mbio za Mwenge mwezi July  2016 baada ya muda mfupi wananchi wanateseka kutafuta maji kwenye madimbwi.

Picha Na- Nassib Shaaban


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad