Lori la
kubeba Mawe lenye namba za Usajili T 456 AQX likiwa limeanguka baada ya kuporomoka eneo la Mlima Nyachonga karibu na NAPS mjini Ngara/Kagera leo January 17,2017 majira ya Jioni na hakuna aliyekufa wala kujeruhiwa kwa sababu hakukuwa na mtu ndani ya lori hilo.
No comments:
Post a Comment