Katibu wa
mbunge wa jimbo la Muleba kusini mkoani Kagera
Denisi Kinubi ambaye ni diwani wa kata ya Kishanda wilaya ya Muleba,
akiomba kura za CCM kwa wananchi wa kata ya Kimwani dhidi ya mgombea udiwani wa
kata hiyo Daudi Kiluma baada ya aliyekuwepo Silvester Muliga (CUF) kufariki
baada ya kuuawa na watu wasiojulikana mwaka jana,2016.
Mwenyekiti
wa halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoani Kagera Chrisant Kamugisha akimnadi
mgombea udiwani wa kata ya Kimwani Daudi Kiluma (CCM) katika kijiji cha
Kizilamuyanga ambapo amewataka wananchi
kufanya kampeni zenye kunadi sera kwa amani na utulivu
Picha na
Shaaban Ndyamukama
|
No comments:
Post a Comment