Suleiman Ally Kocha mkuu wa Ngara Stars na Benchi lake uwanja wa Kayanga/Karagwe.
|
Mashabiki uwanja wa Kayanga,wakifatilia mchezo .
Ligi hiyo
inaendelea tena leo Jumapili January 08,2017 –uwanja wa Kaitaba/Bukoba kwa Kagera
United/Manispaa dhidi ya Bingwa mtetezi-Murusagamba FC/Ngara huku mchezo wa saa
10 ukiwa kati ya Vatican FC/Muleba dhidi ya Halmashauri FC/Misenyi ,kutoka Kundi B.
Uwanja wa
Kayanga /Karagwe-Benaco FC/Ngara kucheza
na Chandimu FC/Manispaa huku Atukuzwe FC/Karagwe dhidi ya Kamachumu
FC/Muleba,zote kutoka Kundi B.
|
Salum Umande Chama-Katibu mkuu wa Chama cha soka Kagera KRFA(Suti ya kijivu) anaefata ni Katibu mkuu wa chama cha soka wilaya ya Ngara-NDFA-Bahati Kunzi na wadau wengine wa soka wakifatilia michuano ya Ligi mkoa wa Kagera uwanja wa kayanga/Karagwe jana January 07,2017. |
No comments:
Post a Comment