Vazi la Khanga kutufungia mwaka 2016 pale Regency Park Hotel. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Wednesday, December 28, 2016

demo-image

Vazi la Khanga kutufungia mwaka 2016 pale Regency Park Hotel.

.com/simgad/
15747630_1380163608684565_4485906753740551546_n
Ni jambo la kufurahisha kutoka kwenye Tasnia Mitindo hapa Tanzania kutokana na jinsi ambavyo wadau hao wa mitindo wamejipnga kufanya maajabu ya ki-Fashion katika tukio kubwa la kuuaga mwaka 2016 na Vazi la Khanga, kupitia ile event matata maarufu kama “Khanga Party “ Party ya kijanja ambayo huandaliwa kila mwaka na Mama wa Mitindo maarufu kama  Asya Idarous Khamsin.

Katika Party hiyo kutakuwa na Designers wa kutosha plus wadau mbalimbali wa mitindo  bila kusahau Surprise kibao za Burudani ziki pambwa na mitoko ya Khanga. 

Kumbuka Party hii itafanyikia pale Regency Park Hotel siku ya Jumamosi 31/December /2016 kuanzia mida ya saa mbili kamili usiku.

Tafadhali tunaomba support yako katika tukio hili muhimu na lakipekee ili tuweze kuuanga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya 2017 kwa furaha za Shangwe, upendo na mshikamano kutoka kwa wanamitindo wote wa hapa Tanzania. 

Asante.

BOFYA CHINI HAPA KUTAZAMA VIDEO ZAIDI .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *