Uzinduzi Mapinduzi CUP 2017: Taifa Jang’ombe Yaitungua Jang’ombe Boys. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Saturday, December 31, 2016

demo-image

Uzinduzi Mapinduzi CUP 2017: Taifa Jang’ombe Yaitungua Jang’ombe Boys.

.com/simgad/
4
Kombe la Mapinduzi 2017 ikiwa ni Mashindano maalumu ya kuenzi Mapinduzi tukufu ya Visiwa vya Zanzibar na Pemba yameanza Jana Ijumaa December 30,2016  kwenye uwanja wa  Amaan, Zanzibar kwa Timu ya Taifa Jang’ombe kuifunga Jang’ombe Boys  goli 1-0 kati Mechi ya Kundi A.

Bao la ushindi la Taifa Jang’ombe lilifungwa Dakika ya 83 na Mchezaji Seif Hassan ‘Banda’ na kuifanya timu yake iongoze Kundi A kwa kuwa na pointi 3 mkononi baada ya kucheza mchezo mmoja.
2

1
Kundi A lina timu za Simba SC ya Dar es Salaam, Taifa ya Jang’ombe, Jang’ombe Boys, KVZ na Mabingwa Watetezi, URA ya Uganda.

Kundi B lina Timu za Yanga SC, Azam FC, Jamhuri na Zimamoto.

3
January 01,2017, Mabingwa Watetezi, URA watacheza na KVZ kuanzia Saa 10 Jioni na baadae Simba SC kumenyana na Taifa ya Jang'ombe Saa 2 na Nusu Usiku.

Mechi za Kundi B zitaanza Januari 02,2017, kwa Azam FC kucheza na Zimamoto kuanzia Saa 10 Jioni kisha Yanga SC kuivaa Jamhuri Saa 2 na Nusu Usiku.

KOMBE LA MAPINDUZI 2017.

Ratiba/Matokeo.

Desemba 30, 2016

Taifa Jang'ombe 1 – 0 Jang'ombe Boys

Januari 01, 2017

KVZ VS URA (Saa 10:00 jioni)

Simba vs Taifa Jang'ombe (Saa 2:30 usiku)

Januari 02, 2017

Azam vs Zimamoto (Saa 10:00 jioni

Yanga vs Jamhuri (Saa 2:30 usiku)

Januari 03, 2017

Jang'ombe Boys vs URA (Saa 10:00 jioni)

KVZ vs Simba (Saa 2:30 usiku)

Januari 04, 2017

Zimamoto vs Yanga (Saa 10:00 jioni)

Jamhuri vs Azam saa 2:30 usiku.

Januari 05, 2017

KVZ vs Jang'ombe Boys (Saa 10:00 jioni)

Simba vs URA (Saa 2:30 usiku)

Januari 06, 2017

Taifa Jang'ombe vs KVZ (Saa 2:30 usiku)

Januari 07, 2017

Jamhuri vs Zimamoto (Saa 10:00 jioni)

Yanga vs Azam (Saa 2:30 usiku)

Januari 08, 2017

Simba vs Jang'ombe Boys (Saa 10:00 jioni)

Taifa Jang'ombe vs URA (Saa 2:30 usiku).

Januari 10, 2017

Nusu Fainali

Nusu Fainali ya kwanza (Saa 10: 00 jioni)

Nusu Fainali ya Pili (Saa 2:30 usiku)

Januari 13, 2017

FAINALI

Saa 2: 30 usiku.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *