

![]() |
Mhe.Charles
Mwijage , Hapo Jana December 29,2016 aliongoza mnada wa kuuza bidhaa mbalimbali
ikiwemo mifugo ,Lengo ikiwa ni kuchangia ujenzi wa shule ya msingi Manyora kata
ya Kagoma Wilayani Muleba mkoani Kagera ambapo zinahitajika Shilingi 100.9
milioni ambapo yeye amechangia Shilingi 1.2 milioni na zilipatikana Shilingi 32.77 milioni.
Katikati ni Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba Bw
Emanuel Sherembi akiwa na wadau wengine katika harambee hiyo.
|
No comments:
Post a Comment