
![]() |
Manchester United
wanaitandika Sunderland 3-1 katika Mechi ya kwanza kwa David Moyes kwa mara ya
kwanza tangu atimuliwe Umeneja na Man United Aprili 2014.
Huo ni
ushindi wa 4 mfululizo kwa Manchester United katika EPL na kuwapa Pointi 33 nafasi ya 6 huku Bao zao zilipachikwa na
Daley Blind, Zlatan Ibrahimovic Na Bao tamu sana la alieanzia Benchi Henrikh
Mkhitaryan.
|
No comments:
Post a Comment