Chelsea wamejizatiti kileleni kwa Pointi 9 kwenye EPL. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Tuesday, December 27, 2016

demo-image

Chelsea wamejizatiti kileleni kwa Pointi 9 kwenye EPL.

.com/simgad/
1
Eden Hazard akipongezwa na wachezaji wenzake wa Chelsea baada ya kuifungia bao la pili timu hiyo kwa penalti dakika ya 49 kufuatia yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Simon Francis katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC -Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana December 26,2016 Uwanja wa Stamford Bridge, London. 
2
Kwa ushindi huo, Chelsea wamejizatiti kileleni kwa Pointi 9 juu ni wa 12 mfululizo kwenye EPL kwa Klabu hiyo na kujiwekea Rekodi yao wenyewe na sasa wanakaa kileleni wakiwa na point 46.

Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 24 na Steve Cook dakika ya 90 na ushei.

3

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *