![]() |
Nako huko
Emirates, Arsenal ilibidi wasubiri hadi Dakika ya 86 kwa Olivier Giroud
kuwafungia Bao pekee na la ushindi walipoitungua West Bromwich Albion 1-0.
Mechi za EPL
zitaendelea Jumanne kwa Mechi moja huko Anfield kwa Liverpool kuikaribisha
Stoke City na Jumatano Mechi moja kati ya Southampton na Tottenham.
Jumanne
Desemba 27,2016.
2015
Liverpool v Stoke City
Jumatano
Desemba 28,2016.
2245
Southampton v Tottenham Hotspur
|
![]() |
Kelechi
Iheanacho akimchambua kipa wa Hull City kuifungia Manchester City bao la pili
dakika ya 78 katika ushindi wa 3-0 .
Mabao
mengine ya Man City yamefungea na Yaya Toure kwa penalti dakika ya 72 na Curtis
Davies aliyejifunga dakika ya 90.
|

No comments:
Post a Comment