Yanga SC yakamilisha kwa ushindi wa 2-1 Mmzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu 2016/2017. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, November 10, 2016

Yanga SC yakamilisha kwa ushindi wa 2-1 Mmzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu 2016/2017.

Wachezaji wa Yanga SC wakimpongeza kiungo Haruna Niyonzima (katikati kulia) baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 56 wakiilaza 2-1 Ruvu Shooting jioni ya leo Novemba 10,2016 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Ruvu Shooting ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 7 kupitia kwa Abrahman Musa, Simon Msuva ndio aliisawazishia Yanga SC goli dakika ya 31 ila nahodha wao Haruna Niyonzima akapachika goli la ushindi dakika ya 56.
Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akimtoka beki wa Ruvu, Renatus Kisase.

Hapa chini Ni Msimamo wa Ligi Kuu VodacomTanzania bara 2016/2017 baada ya matokeo ya mechi ya Yanga SC vs Ruvu Shooting yakikamilisha Mzunguko wa Kwanza wa Ligi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad