Picha:DC Ngara apokea Madawati 120 kutoka Kampuni ya Kabanga Nickel. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, November 10, 2016

Picha:DC Ngara apokea Madawati 120 kutoka Kampuni ya Kabanga Nickel.

Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera ,Luteni Kanali Michael Mtenjele (Pichani wa Pili kutoka kushoto) akipokea Madawati 120 yaliyotolewa na Kampuni ya Kabanga Nickel inayojihusisha na utafiti wa madini  wilayani Ngara Mkoani Kagera  yenye thamani ya Shilingi 12 milioni ,Yatakayotolewa kwenye Shule tano zilizopo tarafa ya Rulenge na Murusagamba wilayani humo ikiwa ni kuunga mkono Juhudi za Serikali kupunguza changamoto ya madawati  hapa nchini.

 Hadi kufikia Novemba 02,2016,Jumla ya madawati 24,460 yametengenezwa huku Pungufu yakiwa ni Madawati 149.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad