Picha ya Siku: Naibu Spika Tulia v/s Chato. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, November 09, 2016

Picha ya Siku: Naibu Spika Tulia v/s Chato.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge  akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad