Tamko la Serikali ya Tanzania kuhusu Madereva Kutekwa DRC. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 15, 2016

Tamko la Serikali ya Tanzania kuhusu Madereva Kutekwa DRC.

Taarifa kuhusu Magari kuchomwa moto na waasi wa Mai Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuwakamata madereva watanzania  wakitaka walipe dola 4000 kila mmoja na kushinikiza askari wa Tanzania watoka Congo kurudi kwao ama lasivyo wanawauwa hao Madereva, ambapo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga amezungumza Leo hii Septemba 15,2016 na wanahabari na kutoa Tamko la Serikali.

Mai Mai Kata ni kundi la waasi nchini DRC ambalo linadai kupigania uhuru wa jimbo la Katanga, na linaongozwa na Gédéon Kyungu Mutanga, ambaye aliunda kundi hilo mara tu alipotoroka kutoka gerezani mwaka 2011.

Hapa chini nimekuwekea Tamko hilo la Serikali kuhusu Madereva Kutekwa DRC.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad