Picha 3 za Tukio la kupatwa kwa jua katika eneo Kata ya Ngara Mjini wilayani Ngara/Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 01, 2016

Picha 3 za Tukio la kupatwa kwa jua katika eneo Kata ya Ngara Mjini wilayani Ngara/Kagera.

Tukio  la kupatwa kwa jua katika eneo Kata ya Ngara Mjini wilayani Ngara mkoani Kagera litatokea leo September 01,2016 kuanzia majira ya saa 10.30 asubuhi ambapo eneo hilo Jua lilionekana kwa mbali na hali ya ugiza kutanda kwa muda kama Picha Juu na  hapa chini zikionesha ambapo kwa sasa hali ya kawaida imerejea (Picha chini ikionesha).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad