Manchester City waenda hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya 2016/2017. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 25, 2016

Manchester City waenda hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya 2016/2017.


Kipa wa Steaua Bucharest, Valentin Cojocaru akiushuhudia mpira wa kichwa wa Fabian Delph ukifanya safari ya kuelekea nyavuni na kuifungia Manchester City bao pekee katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jana Agosti 24,2016 Uwanja wa Etihad.

 Manchester City imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-0 baada ya kushinda 5-0 katika mchezo wa kwanza.

Timu nyingine zilizosonga ni  FC Copenhagen,Borussia Monchengladbach ,Dinamo Zagreb na FC Rostov.



Timu 5 zilizofuzu hiyo Jumanne Agosti 23,2016 ni Celtic ya Scotland, Legia Warsaw ya Poland, AS Monaco ya France, FC Porto ya Ureno na Ludogorets Razgrad ya Bulgaria.



-KUANZIA Hatua ya Makundi [Droo kufanyika Agosti 25,2016]


Chungu Na 1 (Mabingwa Watetezi na Timu 7 toka Nchi 7 za juu kwa Ubora Ulaya]



 Real Madrid (ESP, Mabingwa)
 
Barcelona (ESP)
 
Leicester City (ENG)

 Bayern München (GER)

 Juventus (ITA)

Benfica (POR)

Paris Saint-Germain (FRA)

CSKA Moskva (RUS)

Vyungu Vingine

Atlético Madrid (ESP)

Borussia Dortmund (GER)

Arsenal (ENG)

Sevilla (ESP)

Napoli (ITA)

Bayer Leverkusen (GER)

Basel (SUI)

Tottenham Hotspur (ENG)

Dynamo Kyiv (UKR)

Lyon (FRA)

PSV Eindhoven (NED)

Sporting CP (POR)

Club Brugge (BEL)

BeÅŸiktaÅŸ (TUR)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad