Lori laua Watu watatu papo hapo baada ya kuanguka mlima wa K9 ,wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, August 29, 2016

Lori laua Watu watatu papo hapo baada ya kuanguka mlima wa K9 ,wilayani Ngara mkoani Kagera.


Pichani juu na chini ni Moja ya ajali iliyotokea leo Agosti 29,2016 katika Eneo la mlima mkali wa kushuka K9 ,wilayani Ngara mkoani Kagera kwa Lori la Mizigo lililokuwa na shehena ya mifuko ya Saruji kuanguka.

Inaelezwa na mashuhuda wa Tukio hilo kuwa huenda chanzo cha ajali kimesababishwa na kufeli kwa Mfumo wa break ambapo Watu watatu walipoteza maisha palepale kwa kubanwa na kebeni kitu kilichopelekea wapoteze maisha.

 



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad