UEFA 2016:-Wametaja Kikosi Bora cha Michuano Hiyo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, July 11, 2016

UEFA 2016:-Wametaja Kikosi Bora cha Michuano Hiyo.

Siku moja baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika na timu ya taifa ya Ureno kutwaa taji Kombe hilo, leo July 11 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limetaja majina ya wachezaji 11 bora wanaounda kikosi bora cha Euro 2016.

UEFA wametaja majina 11 ya wachezaji kutoka nchi za Ureno, Ufarasa, Ujerumani na Wales, kwa upande wa Ureno wametoa jumla ya wachezaji wanne, Ujerumani watatu, Ufaransa na Wales wawili wawili kila timu, lakini kama utakuwa unakumbuka Ronaldo bado ni mmoja kati ya wachezaji wanaounda kikosi bora cha muda wote cha Euro.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad