![]() |
|
Muuguzi wa zamu wa
kituo hicho, Tatu Manyama alisema kuwa mama huyo alifikishwa kituoni hapo akiwa
na hali mbaya baada ya kutokwa damu nyingi.
Afisa mmoja wa Polisi
aliyeomba jina lake kutoandikwa kwa kuwa siyo msemaji, alisema Jeshi
la Polisi linawasaka Vijana hao ili liwafikishe mahakamani kwa makosa ya kumjeruhi
mama huyo.
“Vijana hao wanaendesha
ulinzi wa jamii maarufu kama sungusungu lakini baadhi yao wanatumia nafasi hiyo
kufanya uhalifu kwa baadhi ya watu,” alisema afisa huyo.
Licha ya kuanzishwa kwa
kanda maalum ya kipolisi, Mkoa wa Mara umekithiri kwa wananchi kukatana mapanga
na ripoti mbalimbali zikiripotiwa kuhusu matukio ya aina hiyo mara kwa mara kwa miaka
mingi, jambo ambalo linatia doa eneo hilo la nchi....BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI HABARI HII
|
Tuesday, July 12, 2016
JAMANI MARA:-Ukatili huu hadi lini?
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.









No comments:
Post a Comment