AJALI / PICHA:-Treni zagongana na kuua Watu 12 ,Nchini Italia. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 12, 2016

AJALI / PICHA:-Treni zagongana na kuua Watu 12 ,Nchini Italia.

Treni mbili zimegongana kusini mwa nchi ya Italia na kuua watu 12 eneo la tukio na wengi wao kujeruhiwa.

Treni hizo kila moja ikiwa na mabehewa manne ziligongana kwenye mji wa Andria uliopo kwenye Jimbo la Puglia.

Waziri Mkuu wa Italia, Renzi amesema, “huu ni wakati wa majonzi ambapo sote kwa pamoja tunapaswa kuungana kuwafariji wafiwa na kuwatibu majeruhi.

Treni zilizogongana moja ilikuwa ikitoka Andria na nyingine  Corato.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad