Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiongea na
wananchi wa Kijiji cha Nandanga kilichopo Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi na
kuahidi kuendelea kusaidia kambi hizo za wazee na watu wenye ulemavu wa ukoma
ambapo mpaka sasa meshatoa msaada katika kambi 4 katika mikoa ya Dar es Salaam,
Mwanza, Lindi na Mtwara yenye thamani ya Takribani shilingi 250.
|
Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi
kutoka wawakilishi wa kijiji cha Nandanga kilichopo Wilayani Ruangwa Mkoani
Lindi.
|
Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na
baadhi ya watoto waliofika katika hafla ya utoaji misaada katika kambi ya kulea
wazee ya Nandanga iliyopo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi.
|
Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiagana na
wananchi wa Kijiji cha Nandanga kilichopo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi baada
ya kutoa msaada katika kambi ya kulea wazee ya Nandanga iliyopo eneo hilo.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO.BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI.
|
No comments:
Post a Comment