Ushindi huo pia
umechangia kuandikwa kwa rekodi tano mpya kwenye soka la ulaya.
1. Timu ya kwanza kubeba kombe la UEFA
Cup/UEFA Europa League miaka 3 mfululizo.
2. Hispania ndio nchi yenye mafanikio
zaidi kwenye michuano hii ya UEFA Europa League…''Mpaka kufikia jana
kabla ya mechi ya fainali, Hispania na Italia kupitia vilabu vyao walikuwa
wameshachukua makombe 9 kila mmoja – huku Serie A wakitoa washindi wa pili mara
6 huku La Liga wakitoa washindi wa pili 5.
Uingereza (wameshinda kombe la UEFA
mara 7), Ujerumani (6) na Uholanzi (4) – Baada ya fainali ya May 18,2016, Hispania sasa
ndio wanakuwa nchi iliyobeba kombe huli mara nyingi zaidi.
3. Sevilla imekuwa timu ya kwanza kubeba
kombe mara 5.
4. José Antonio Reyes amekuwa mchezaji wa
kwanza kubeba taji hili mara 4 ndani ya fainali 4.
5. Unai Emery amekuwa kocha wa kwanza
kufikia rekodi ya kutwaa makombe matatu mfululizo na akiwa kwenye timu moja.ZAIDI BOFYA HAPA KUSOMA REKODI YA SEVILLA.
|
Friday, May 20, 2016
Home
MICHEZO
TASWIRA PICHA:- Sevilla baada ya kutwaa Ubingwa wa Europa 2015/2016 na Rekodi 5 kubwa Walizovunja.
TASWIRA PICHA:- Sevilla baada ya kutwaa Ubingwa wa Europa 2015/2016 na Rekodi 5 kubwa Walizovunja.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment