Yanga SC ilipoteza
mchezo wake wa jana dhidi ya wenyeji Sagrada Esparenca kwa bao 1-0 ikiwa ni
mchezo wa marejeano wa play off kutafuta nafasi ya kucheza hatua ya makundi ya
kombe la shirikisho barani Afrika.
Licha ya Yanga SC kupoteza
mchezo huo, bado vijana hao wa Jangwani wamefanikiwa kutinga katika hatua ya
makundi (nane bora) ya michuano hiyo kutokana na hazina ya ushindi wa magoli
2-0 walioupata kwenye mchezo wa kwanza jijini Dar.Picha kwa Hisani ya shaffihdauda.
No comments:
Post a Comment