Jose Mourinho
Makubaliano ya mkufunzi
Jose Mourinho kuwa kocha wa kilabu ya Man United msimu ujao yameafikiwa baada
ya mazungumzo ya siku tatu.
Majadiliano kati ya
ajenti wa Mourinho Jorge Mendes na maafisa wakuu wa United yamekamilika
ijapokuwa hakuna kandarasi iliotiwa saini.
Tangazo rasmi kutoka
kwa klabu hiyo linatarajiwa siku ya Ijumaa.
Raia huyo wa Ureno
atachukua mahala pake Louis van Gaal,ambaye alifutwa kazi siku ya Jumatatu,
siku tatu baada ya United kushinda kombe la FA.NA BBC SWAHILI.
|
Thursday, May 26, 2016
RASIMI SASA:-Jose Mourinho kuwa Kocha wa Klabu ya Man United msimu Ujao.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment