Anasema madaktari sasa wanaweza
kuhudumia wagonjwa wengi zaidi wenye uhitaji na kupunguza gharama kwa serikali
ya kusafirisha wagonjwa wa moyo nje ya nchi.
Mwandishi wa BBC aliyepo Dar es
Salaam Esther Namuhisa anasema wengi
wa wagonjwa wamekuwa wakisafiri hadi India ambapo wengi hukumbana na changamoto
nyingi kupata huduma hiyo kifedha na hata kwenye upande wa lugha.SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA.
|
Thursday, May 26, 2016
AFYA YETU:- Madaktari Tanzania wafanya Upasuaji wa Kihistoria.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment