KLABU BINGWA ULAYA:-Arturo Vidal's aipa Ushindi Bayern Munich wa 1-0 dhidi ya Benfica. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 06, 2016

KLABU BINGWA ULAYA:-Arturo Vidal's aipa Ushindi Bayern Munich wa 1-0 dhidi ya Benfica.

Bayern Munich wamepata ushindi mwembamba dhidi ya Benfica wa bao1- 0 katika Mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ,hapo Jana April 05,2016 wakiwa nyumbani,Ujerumani.
Katika mchezo huo,Bao pekee la Arturo Vidal la mapema tu dakika ya pili limeipa ushindi na sasa Bayern Munich wana kazi ya ziada ya kwenda kuulinda ushindi wao katika mchezo wa marudiano ugenini.

Jumatano Aprili 13,2016.

Benfica v Bayern Munich

Atletico Madrid v Barcelona



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad