![]() |
|
Fernando
Torres alliipa goli la kuongoza Atletico
Dakika ya 26 lakini akapewa Kadi ya Njano Dakika ya 30 na kuizoa nyingine
Dakika ya 37 na kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu.
|
![]() |
|
Katika mchezo
huo,FC Barcelona walisawazisha Dakika ya 63 pale shuti la Neymar kuelekea
Golini lilipomaliziwa kibahati na Luis Suarez.
|













No comments:
Post a Comment