MSEMAJI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM:-Rasmi ni Ndugu Christopher Ole Sendeka kuanzia Leo March 20, 2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, March 20, 2016

MSEMAJI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM:-Rasmi ni Ndugu Christopher Ole Sendeka kuanzia Leo March 20, 2016.

Chama cha Mapinduzi CCM leo,March 20, 2016 kimemtangaza Ndugu Christopher Ole Sendeka kuwa msemaji mpya wa CCM kuanzia leo.

Ndugu Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.
Pichani, Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi - CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Ndugu Nape Nnauye ambapo kwa sasa Ole Sendeka pichani katikati ndiye ameishika nafasi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad