LIGI YA MABINGWA ULAYA:-FC Barcelona Yaenda Robo Fainali kwa 5 -1. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, March 17, 2016

LIGI YA MABINGWA ULAYA:-FC Barcelona Yaenda Robo Fainali kwa 5 -1.


Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akifurahi na Lionel Messi baada ya Kuifungia the Catalan bao la Kwanza dakika ya 18 , Luis Suarez aliiunganisha kwa ustadi mkubwa krosi ya Dani Alves kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 65 na Lionel Messi dakika ya 88, katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal usiku huu wa March 16, 2016,kwenye Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. 


Bao pekee la Arsenal katika mchezo huo limefungwa na Mohamed Elneny dakika ya 51.



FC Barcelona imeenda hatua ya Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa magoli 5-1 baada ya awali kushinda 2-0 Uwanja wa Emirates, London.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad